JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ndugu Rais, jicho halijitazami

Ndugu Rais, bendi ya muziki ina ala nyingi. Wakati mwingine muziki unapigwa tangu mwanzo hadi mwisho na msikilizaji asisikie ala fulani ikijitokeza. Baba Phillip Mangula ni mtu wa pili kwa nguvu katika Chama chetu Cha Mapinduzi. Lakini chama na serikali…

Kifo ni faradhi si kete ya ushindi

Kifo ni mauti, ni hilaki. Ni tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai. Ni tendo la lazima kutokea kwa binadamu. Kwa hiyo kila nafsi itaonja mauti. “Inna Lilah Wainna Lilah Rajuun.” Yaani, sisi wote ni waja wa Mwenyezi Mungu…

Yah: Tumekuwa wakukurupuka mno

Inawezekana nimeandika pia barua za kukurupuka wiki nyingi tu zilizopita, lakini dhambi hiyo hainiondoi kwenye kutazama wengine wanafanyaje katika maisha yao.  Mara nyingi mtu hajioni kilema chake isipokuwa kilema cha mwingine, na katika hili huwa tunaona vilema vidogo na kusahau…

Mafanikio katika akili yangu (7)

Huu ni mwendelezo wa kitabu cha toleo la kwanza. Ni hadithi inayozungumzia mwenendo na ndoto ya kijana Noel ambaye alitokea katika familia duni na hatimaye akafanikiwa kwa kiwango kikubwa. Fuatilia hadithi hii yenye mafunzo na hamasa… Noel akiwa nyumbani kwa…

KIJANA WA MAARIFA (1)

Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu sana. Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda. Maarifa yatakufanya…

Ana kwa ana na Rais Nyerere (4)

Swali:  Unasema kuwa umma hauna nguvu hasa, hii ni kweli, lakini pia ni hatari kubwa kutoa madaraka kwa umma wakati uongozi hauna imani  na jambo hilo. Mifano ya Obote na Nkrumah na viongozi wengine wa Kiafrika inaonyesha haya wazi. Hii…