Category: Makala
Jiulize maswali kila asubuhi
Unapoamka asubuhi kutoka kitandani unajiuliza swali gani? Unapomsikia jogoo akiwika alfajiri unajiuliza nini? Je, kila asubuhi unajiuliza kuhusu hatima ya maisha yako? Kila asubuhi imebeba ujumbe wa maisha yako. Kila asubuhi Mungu anakuambia: “Nimekuamsha salama mwanangu mpendwa. Ninakupenda sana. …
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (6)
Fursa hazipotezi muda zikikutana na wale ambao hawajajiandaa, zinapita. Fursa ikikutana na maandalizi kwa pamoja vinazaa bahati. “Nitajiandaa na siku moja fursa yangu itakuja,” alisema Abraham Lincoln. Kutojiandaa ni kuharibu furaha ya kesho, kutojiandaa ni kujiandaa kuyapa mgongo mafanikio. “Kwa…
KIJANA WA MAARIFA (2)
Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo la muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu. \ Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda….
Ana kwa ana na Rais Nyerere (5)
Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973. David Martin ni…
Maulid ni jukwaa la kumtangaza Mtume Muhammad (S.A.W)
Kwa mujibu wa kalenda ya sikukuu za kitaifa nchini Tanzania, juzi siku ya Jumapili tarehe 10, Novemba 2019 ilikuwa siku ya mapumziko kwa mnasaba wa kuadhimisha mazazi ya Kiongozi wa umma wa Waislamu duniani, Mtume Muhammad Bin Abdillahi Bin Abdil-Mutwalib…
Dodoma lajipanga kuwa jiji salama zaidi Afrika
Takriban miaka miwili baada ya Rais John Magufuli kuvunja Mamlaka ya Kuendeleza Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuitangaza Dodoma kuwa jiji Aprili mwaka huu, ujenzi wa miundombinu ya kisasa, zikiwamo barabara mpya unaozingatia viwango vya kimataifa, ulianza kwa kasi ukilenga…