JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

‘Tuna matumaini chanya ya mabadiliko ya sheria ya habari’

Na Stella Aron,JamhuriMedia TASNIA ya habari inapaswa kuwa na sheria na kanuni rafiki ili kuruhusu kukua na kwamba, kuweka sheria kali na ngumu, kunaua vyombo vya habari lakini kunaacha athari hasi kwa taifa. Kuwepo kwa vyombo vingi vya habari kushindwa…

Harufu ya rushwa, CCM yaamua kufuta chaguzi baadhi ya mikoa

Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kwa dhamana ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Uchaguzi wa ndani ya chama unaonendelea huku ukifikia ngazi za mikoa chama na jumuiya, ametangaza kufuta uchaguzi katika baadhi ya maeneo, kusimamisha mchakato wa…

‘Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye kiwango kikubwa cha TB’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa Kifua Kikuu ni Janga la Kitaifa na la Kidunia ambapo ni moja kati ya magonjwa yaliyokuwepo duniani kwa muda mrefu na umeshachukua maisha ya mamilioni ya watu Duniani kote. Hayo yamesemwa jana na Katibu Tawala wa…

Muhimbili kuanzisha ‘Sober House’, kliniki ya magonjwa ya akili

………………………………………………….. Hospitali ya Taifa Muhimbili ina mpango wa kuanzisha Kliniki ya Magonjwa ya Afya ya Akili ikiwemo huduma jumuishi za waraibu wa dawa za kulevya katika Kijiji cha Marekebisho ya Afya ya Akili, kilichopo Vikuruti Kata ya Chamazi ili kupunguza…

‘Kukwepa kutumia maabara kumechangia ongezeko la magonjwa’

Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania inakabiliwa na magonjwa ya kuambukizwa kwa asilimia 95 kutokana na baadhi ya watumishi kutopenda kutumia huduma za maabara hali hiyo imesababisha wagonjwa wengi wamekuwa wakitibiwa bila kupata uhakiki wa majibu kutoka maabara huku asilimia 90 ya…

Jafo:Waliovamia vyanzo vya maji waondoke haraka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo (Mb) amewataka wananchi wote waliovamia bonde la Ihefu ambalo ni chanzo cha mto Ruaha Mkuu kuondoka mara moja ili kuondokana na athari zilizopelekea mto Ruaha Mkuu…