JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ndugu Rais, tumesoma nini katika kitabu cha Mkapa?

Ndugu Rais, kitabu kilichoandikwa na Rais mstaafu Benjamin William Mkapa kimezinduliwa. Kwa mipango ya Mungu ulikizindua wewe mwenyewe.  Ninasema ni mipango ya Mungu kwa sababu sisi wote tuna nafasi ya kuelewa alichokiandika Benjamin William Mkapa, lakini kwa kuwa baba ndiye…

Tanzania kinara wa kupambana na umaskini duniani

Tanzania inaongoza miongoni mwa nchi 15 duniani ambazo zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kupunguza idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini wa kupindukia. Hayo yamebainishwa na Benki ya Dunia ambayo inasema kuwa Tanzania imeibuka kidedea baada ya kuwa na matokeo mazuri kati…

KIJANA WA MAARIFA (3)

Maisha hayahitaji watu wepesi wepesi Nimeamka asubuhi na mapema huku nikifurahia tukio moja zuri sana, ni pale jua linapoliambia giza, “Inatosha sasa, huu ni wakati wangu wa kutawala.” Napaki mizigo yangu na kutoka nje. Naanza kwenda katika kituo cha magari, ni…

Kiongozi ni muhimu, lakini umma ni zaidi

Leo naandika juu ya uanaharakati kama nyenzo inayotumika na watu au makundi ya watu kuendesha kampeni za kuleta mabadiliko ndani yajamii. Tumezoea kuhusisha uanaharakati na siasa pekee, lakini ni mada pana inayovuka uwanda wa siasa. Najikita juu ya jinsi gani…

Je, umemdhamini mtu kuchukua mkopo na mali yako inataka kuuzwa?

Ni kawaida mali za wadhamini kutaka kuuzwa au kuuzwa pale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma, kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo….

Muhtasari wa kitabu cha Rais Mkapa

Mtoto Benjamin William Mkapa, alifundishwa kupika chakula na mama mzazi, Stephania, akiwa mdogo.  Alipokwenda shuleni hapo kijijini Lupaso, Ndanda na hatimaye St. Francis Pugu na Makerere, alifundishwa kupika, kufinyanga, kubuni na kuchambua mawazo na kuyaweka sawa kama msomi mbunifu na…