Category: Makala
Ndugu Rais tusimfukuze jogoo
Ndugu Rais, nilipoandika kuwa, ziko sikukuu nyingi ambazo unaweza ukaamuru zifanyike sehemu mbalimbali za nchi kama kutia hamasa, lakini si siku ya uhuru wa nchi, Watanzania wengi, hasa wazee kutoka kila kona ya nchi yetu walionyesha kuguswa sana. Wazee walioshuhudia…
Uislamu na utunzaji wa mazingira
Utunzaji wa mazingira ni kadhia inayozungumzwa sana ulimwenguni katika ngazi zote kutokana na umuhimu wake na maisha ya mwanadamu. Je, umepata kujiuliza mazingira ni nini? Kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira nchini Tanzania ya mwaka 2004, mazingira yanahusisha maumbile…
Mungu anaongea kupitia mazingira (2)
Tuache lawama. Tunakuwa wa kwanza kulaumu kwamba mabadiliko ya tabia ya nchi yamebadilika na wakati huo huo tunakuwa wa kwanza kukata miti ovyo pasipo kupanda miti mingine. Tunajenga viwanda ovyo pasipo kuzingatia usafi wa mazingira. Tuwe na sababu za kulaumu pale ambapo mchango wetu umeonekana lakini haukufaulu kushinda kwa lililokusudiwa. Katika…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (10)
Krismasi ni somo la mpango mkakati Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Usikate kanzu (mbeleko) kabla mtoto hajazaliwa. Ni msemo ambao unatuweka katika utamaduni wa kutopanga kabisa ya kesho. Matumizi ya kipindi cha Krismasi huacha mifuko ya pesa imesinyaa kwa baadhi…
Tuishi kirafiki na mazingira tuepuke majanga
Na Dk. Felician Kilahama Kuna usemi usemao “hakuna lisilowezekana chini ya jua.” Nimejiuliza mara kadhaa chimbuko la usemi huo ni nini, na bado sijapata jibu la uhakika. Pengine kilichomaanishwa ni kuwa na ari ya kutaka kufanikisha jambo muhimu katika maisha….
Tuliza moyo, tamaa mbaya
Zipo njia nyingi za kutuma ujumbe kutoka upande mmoja kwenda wa pili. Njia hizo ni kama vile barua, shairi, wimbo na nyinginezo. Kila ujumbe una madhumuni na malengo yake. Mathalani kuelimisha, kuhamasisha, kutoa taarifa fulani na kadhalika. Wimbo ni tungo…