Category: Makala
Buriani mwaka 2019, karibu mwaka 2020
Mwaka ni kipindi cha miezi kumi na miwili, kuanzia Januari hadi Desemba, kulingana na kalenda ya Kirumi, na mfunguo nne (muharami) hadi mfunguo tatu kulingana na kalenda ya Kiarabu. Watanzania wanazitumia kalenda hizi zote mbili. Ni kipindi cha siku 364…
Yah: Karibu Mwaka Mpya na yawe mambo mapya
Nakumbuka sana kuhusu andiko langu la kitabu ambalo liko toleo la mbali kidogo, lakini nitakuwa sina fadhila iwapo siku hizi za mwisho wa mwaka na sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo nitajitoa fahamu ya kusahau umuhimu wa kumaliza mwaka na…
Mafanikio katika akili yangu (11)
Katika toleo lililopita sehemu ya kumi tuliishia katika aya isemayo: “Mimi niko tayari,’’ alisema Noel kisha wakasalimiana na profesa. Maisha ya Moscow Noel alianza kuona kuwa ni mazuri, ambayo yangeweza kumfaa katika uandishi wake. Sasa endelea… Meninda akiwa njiani akiendesha…
KIJANA WA MAARIFA (8)
Shukrani ni jukumu la kufanyika haraka “Hakuna jukumu linalohitajika kufanyika haraka kama kurudisha shukrani,” alisema James Allen. Kushukuru ni kuomba tena. Shukrani ni kurudisha fadhila ya kuona umefanyiwa kitu cha thamani na mtu ambaye anaweza kuwa rafiki yako, ndugu,…
Uamuzi wa Busara (4)
Katika toleo lililopita, sehemu ya tatu tuliishia katika aya isemayo: “Hatupendi wafukuzwe au wafanyiwe ubaguzi wa namna yoyote, lakini Wahindi na Wazungu tuliowakubali ni wale ambao wamekwisha kukubali kukaa Tanganyika daima. Mhindi ambaye bado yuko India au Pakistan si Mtanganyika….
Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele (2)
DAR ES SALAAM NA ANNA JULIA MWANSASU Ninawashukuru wote walionipigia simu, walionitumia ujumbe mfupi na wengine kuongea nami ana kwa ana kuhusu makala yangu katika toleo lililopita la gazeti hili. Awali ya yote, ninapenda kusema kwamba mimi si mwanasiasa,…