Category: Makala
Utajiri wa Dangote wazidi kupaa
Tajiri namba moja barani Afrika, Aliko Dangote, ameuaga mwaka 2019 kwa kuongeza zaidi utajiri wake kwa dola bilioni 4.3 za Marekani. Dangote, mwenye umri wa miaka 62, raia wa Nigeria ni mfanyabiashara anayemiliki viwanda kadhaa barani humo, alikuwa na utajiri…
Fausta amekufa, ametuachia urithi gani?
Ulikuwa unafahamu kuwa faru Fausta, ambaye alifariki dunia mwishoni mwa mwezi uliopita ndiye alikuwa faru mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani? Kama haukuwa ukifahamu hivyo, basi haupo peke yako. Maelfu ya Watanzania wameonyesha kushangazwa kwao na taarifa kuwa faru Fausta…
Ndugu Rais, katika hofu hakuna maendeleo
Ndugu Rais, inauma sana kuanza andiko la kwanza katika mwaka mpya kwa habari ya kuomboleza! Niwe mkweli, zaidi ya kumwona na kumsoma katika vyombo vya habari kuhusu mashitaka tata dhidi yake, Erick Kabendera simfahamu. Nadhani naye ni hivyohivyo, hanifahamu! Mama…
Jamii ipinge vijana wanaotangaza uzinzi wao
Mwaka 2020 umeanza na kituko cha kufedhehesha pale vijana wa kidato cha sita wa shule moja ya sekondari mkoani Mbeya walipoitaka serikali iwafanyie mpango wa kupata ‘kondomu’ ili waweze kujikinga na madhara ya uzinifu kama vile ugonjwa wa ukimwi na…
Kujaribu kujiua ni ugonjwa, haipaswi kuwa jinai
Siku kadhaa zilizopita Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, amenukuliwa akisema polisi wataanza msako wa kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu wote wanaotarajia kujinyonga mwaka huu. Kamanda Mwakalukwa anatukumbusha kuwa kazi yake ni kutekeleza sheria au kuchukua…
Jibu la msamaha ni msamaha (2)
Leo kupitia makala hii naomba tuwekane sawa katika mahusiano yetu. Dunia haiwezi kuwa salama bila msamaha. Familia yako haiwezi kuwa salama bila moyo wa msamaha. Lewis Smedes anasema: “Mtu wa kwanza, na mara nyingi ndiye ambaye huponywa na msamaha, ni…