JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ukarimu ni mzuri, ubahili ni mbaya

Binadamu anaweza kuwa na tabia ya ukarimu au ya ubahili katika kuweka uhusiano mzuri au mbaya na wanadamu wenzake.  Ukarimu unajenga na unaenzi, na ubahili unaharibu na kubomoa uhusiano kati ya wanadamu. Hadhari kwa binadamu haina budi kutangulia kukinga ubaya…

Yah: Vita ya nje itatuathiri kama hatujitegemei

Kuna msemo wa Kiswahili kwamba wagombanapo fahali wawili ziumiazo ni nyasi. Nimeukumbuka msemo huu kutokana na malezi yetu ya ufugaji na uchungaji wakati huo, hasa pale ambapo tulikuwa tukikutanisha madume wawili wa ng’ombe au mbuzi wapigane. Ukweli ni kwamba chini…

Mafanikio katika akili yangu (13)

Katika toleo lililopita sehemu ya kumi na mbili tuliishia katika aya isemayo: “Mimi ninaitwa Penteratha,” alisema. Profesa alipokuwa akiwatazama nyuso zao akagundua walikuwa na furaha halisi kutoka mioyoni mwao. Sasa endelea…  Penteratha akiwa anaendelea kuzungumza na Noel, profesa alimuuliza: “Hivi…

KIJANA WA MAARIFA (10)

Akiba haiozi, wekeza ukiwa kijana Wanasema akiba haiozi na ikioza hainuki. Nitafanya makosa makubwa kama nikiandika mambo mengi kuhusu vijana na nikakosa kuongelea kuhusu kijana na uchumi. Ni wazi kwamba pesa katika maisha yetu haikwepeki. Tangu unapoamka mpaka pale unaporudi…

Uamuzi wa Busara (6)

Uamuzi wa Busara Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi…

Ukatili wa kijinsia wakithiri Kakonko

Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma imetajwa kama moja ya maeneo nchini ambayo bado yanakabiliwa na matatizo ya ukatili wa kijinsia.  Takwimu zilizotolewa hivi karibuni zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2016 na mwaka jana, matukio 313 ya ukatili wa kijinsia yakiwamo…