Category: Makala
Mstaafu akopa mil. 1/- alipishwa mil. 39/-
Umekisia kisa cha Bi Juliana Kant Nyitambe, mkazi wa mkoani Mara na mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Kotwo iliyopo wilayani Rorya ambaye alikopeshwa Sh 1,000,000 na kulipishwa kwa lazima Sh 39,000,000? Wakati anakopa aliambiwa riba ya mkopo huo ni…
Unayajua haya kuhusu Ukristo na Uislamu?
Makala yetu leo yahitaji kwanza kabisa kujibu swali; Nini Ukristo? Nini Uislamu? Bila ya kuzama kwenye fasili za mabingwa wa teolojia na historia za dini, kwa mujibu wa Kamusi Elezo Huru, Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Khristos, ambalo linatafsiri lile…
Marekani na Iran: Yanayotuhusu na yasiyotuhusu
Dunia inashuhudia kuhatarishwa kwa amani baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuliidhinisha Jeshi la Marekani, hivi karibuni, kumuua kwa shambulio la kombora Meja Jenerali Qasem Soleimani wa Iran. Ni kawaida kwa Merakani kuua watu inayowatuhumu kwa jambo moja au…
Jibu la msamaha ni msamaha (3)
Epuka kuishi maisha ya kujitenga. Kujitenga na wenzako kunakuletea upweke. Mtaalamu wa magonjwa ya akili na Profesa wa Chuo Kikuu cha Harvard, Robert J. Waldinger, katika programu yake inayojulikana kama TED, inayopatikana katika mtandao wa kijamii wa YouTube anasema: “Tatizo…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (13)
Unapanga na Mungu anapanga “Mja hutaka, Mola hujalia.” Ni msemo wa Waingereza. Katika mipango yetu ni vizuri kumuingiza Mungu. “Ukitaka Mungu acheke, mwambie juu ya mipango yako,” anasema Woody Allen. Ukipanga mipango usisahau kusema: “Mungu akipenda.” Bila maneno hayo unamchekesha…
Kwa hili RC Chalamila amepatia
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, huwa hakosi vituko! Wengi wetu tulitarajia wiki iliyopita afungue mwaka mpya wa 2020 kwa kituko! Hakufanya hivyo! Badala yake ameukaribisha mwaka kwa kutoa maelekezo mazuri yanayopaswa kuungwa mkono, si Mbeya pekee, bali nchini…