JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mafanikio katika akili yangu (14)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Fatuma muda huo alikuwa yumo njiani na Zawadi dada yake Noel wakitembea kuelekea ofisi za ofisa utamaduni wa mkoa ili kuangalia namna ya kusajili kampuni yao ya mitindo waliyokuwa wanataka kuianzisha. Sasa endelea……

Uamuzi wa Busara (7)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyofanya uamuzi muhimu  wa kujiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi kwa lengo la kuwapa moyo wananchi. Zaidi alijiuzulu nafasi hiyo ya uongozi ili wananchi wapate…

Kwa nini Ikimba inafaa kuwa wilaya inayojitegemea

Katika mabishano kuhusu ni wapi panafaa kuwa makao makuu ya Wilaya ya Bukoba Vijijini, zipo hoja mbalimbali. Lakini ipo moja iliyo kuu ya kwa nini wananchi wa Bukoba Vijijini wanapendelea makao makuu ya wilaya yao yawe katika eneo la Ikimba. …

‘DAWASA tumejipanga kuwatumikia Dar, Pwani’

Hivi karibuni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya mahojiano na kipindi cha MIZANI cha Televisheni ya Taifa (TBC1). Katika kipindi hicho anazungumza masuala mengi kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi na majitaka jijini Dar es Salaam pamoja…

Hatua za kufuata unapoagiza mzigo wako ng’ambo

Bandari imejipanga kuhakikisha mteja aliyeagiza mzigo nje ya nchi anapata mzigo wake kwa wakati bila usumbufu. Katika toleo hili tunakuletea hatua ambazo mwagizaji wa mzigo kupitia bandari zetu anapaswa kuzifuata ili aweze kuagiza na kuupata mzigo wake kwa njia rahisi. …

Ndugu Rais, unayo nafasi ya kipekee

Ndugu Rais, Malcolm X, mwanaharakati wa haki za weusi huko Marekani alipata kusema: “Nitaufuata ukweli bila kujali nani anausema. Nitafuata haki bila kujali inampendelea nani au ipo dhidi ya nani.”  Na kwa sababu hii, baba ninasema kwa sauti kubwa kuwa…