Category: Makala
Nini maana na umuhimu wa jina la biashara
Jina unalotumia kwenye biashara yako, yaani lile uliloandika dukani kwako, kwenye gari lako na kwingineko kwa mfano MASAI SHOP, KARAMA BEAUTY, BARAKA TRADERS, K TRANSPORTERS, KITWE BUS SERVICES na kadhalika, ndilo jina la biashara. Lakini si jina halali la biashara…
Ni kweli hawayaoni au hawataki kuyaona? (1)
Upo usemi kuwa: “Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.” Usemi huu haukuanza hapa Tanzania. Ni usemi wa zamani hata kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo. Katika Biblia, kwa mfano, neno ‘macho’ na neno ‘viziwi’ yametajwa kwenye vitabu vya Agano…
Uhuru, Mapinduzi na Muungano ni muhimu kwetu
Watanzania tuliadhimisha miaka 58 ya Uhuru jijini Mwanza, Disemba 9, 2019, na Januari 12, 2020, wiki iliyopita tuliadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar mjini Unguja. Hivi sasa tunajiandaa tena kuadhimisha miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ifikapo…
Yah: Ufaulu ni maendeleo kwa taifa letu
Salamu zangu za mwezi Januari lazima ziwe za upole, kwa sababu ni hizi Januari za miaka ya hivi karibuni ambazo zimekuwa zina matatizo mengi kwa kizazi hiki. Sina hakika na sababu zake, lakini labda ni kwa sababu watu hawalimi au…
Mafanikio katika akili yangu (14)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Fatuma muda huo alikuwa yumo njiani na Zawadi dada yake Noel wakitembea kuelekea ofisi za ofisa utamaduni wa mkoa ili kuangalia namna ya kusajili kampuni yao ya mitindo waliyokuwa wanataka kuianzisha. Sasa endelea……
Uamuzi wa Busara (7)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyofanya uamuzi muhimu wa kujiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi kwa lengo la kuwapa moyo wananchi. Zaidi alijiuzulu nafasi hiyo ya uongozi ili wananchi wapate…