JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ushauri wangu kwa Rais Magufuli

Nikiwa mwananchi ninayeipenda nchi yangu, nimeamua kuchukua muda mfupi kumshauri Rais wangu, Dk. John Magufuli, kuhusu uendeshaji wa nchi yetu.  Maana kama anavyoeleza yeye mwenyewe, urais ni kazi ngumu kupita kiasi. Kwa hiyo, kwa wananchi wazalendo wenye kuipenda nchi yao,…

Olduvai inajipanga vipi kutetea hadhi yake?

Uvumbuzi wa mabaki ya watu wa kale uliofanyika sehemu mbalimbali duniani unaweka rehani hadhi ya Bonde la Olduvai ambalo hadi hivi sasa ndilo eneo linalotambulika rasmi kama sehemu ambayo binadamu wa kwanza kabisa duniani aliishi. Licha ya kuweka rehani hadhi…

Ndugu Rais, machungu ya watu wa Mungu yauguse moyo wako

Ndugu Rais, wewe ndiye tuliyepewa uwe baba yetu sisi wote hapa nchini kwa wakati huu. Lakini baadhi yetu labda kwa kusikilizwa sana wanajiona wewe ni baba yao zaidi. Wajue wewe ni baba wa wote.  Tulikuwa pamoja sana kabla hujawa baba….

Uislamu unakataza kuwa ombaomba

Ombaomba, kwa mujibu wa fasili ya Kiswahili, ni mtu anayepata mahitaji yake kwa kuzurura mitaani na kuomba kutoka kwa wapita njia.  Ombaomba ni mtu mwenye tabia ya kuitisha usaidizi kutoka kwa wengine kila mara. Kwa ujumla, ombaomba ni mtu aliyeamua…

Mbowe ni sawa na Mandela, asinyanyaswe

Ninaweza kusema kuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bado wana imani na Freeman Mbowe, baada ya mkutano mkuu wake kuonyesha imani naye na kumwacha aendelee kushikilia usukani wa kukiongoza kwa kumpa tena nafasi ya kuwa mwenyekiti wake…

KESHO YAKO

Anza kujiandaa.  Kesho inaanza leo. Panda mbegu za kesho leo. Ukweli ni kwamba kesho njema hujengwa na leo njema. Ikiwa leo njema imekosewa, hakuna kesho njema yenye mafanikio. Rais wa 36 wa Marekani, Lyndon B. Johnson anasema: “Jana si ya…