Category: Uchumi
Ndugu Rais, Maisha Yangu na Baada ya Miaka 50
Ndugu Rais, waaminio katika juzuu wanasema chapisha au potea. Najua iko siku sitakuwapo katika ulimwengu huu wa mateso kwa sababu sote tunapita tu hapa duniani. Sijui Mwenyezi Mungu ametupangia siku ngapi za kuishi, mimi na wengine. Lakini tuzikumbuke siku za…
Wachina Waamua Kujitosa Muhogo Tanzania
Leo naomba kuanza makala yangu kwa kukutakia heri ya Krismasi mpendwa msomaji wangu. Lakini pia nichukue fursa hii kuwashukuru nyote mlioniletea salaam za pole kwa wiki yote iliyopita wakati nimelazwa na kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es…
MWALIMU NYERERE: MAENDELEO NI KAZI
Hotuba ya Rais wa Chama, Mwalimu Julius K. Nyerere, Kwenye Mkutano Mkuu wa TANU wa 16. Waheshimiwa sasa ningependa kuufungua Mkutano wetu rasmi. Nasema katika ufunguzi huu kazi yangu kwa leo itakuwa, asubuhi hii, ni kuwasilisha kwenu Taarifa ya mambo…
Turejeshe Rasilimali za Umma Pasipo Migogoro
Tangu ilipoingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015, Serikali ya Rais John Magufuli imefanya uamuzi mgumu unaohusu kurejesha mali za umma zinazodaiwa kuhujumiwa pasipo kujali maslahi mapana ya nchi. Ipo orodha ndefu ya matukio yanayodhihirisha kufikiwa kwa…
Njaa isitufikishe huko
Kwa sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini miezi ya Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Desemba huwa ni miezi ya sherehe, harusi, ngoma za kila aina na hata ndugu kukumbukana (okuzilima). Miezi hii huwa watu wana furaha. Kingazi cha Julai kinakuwa kimekwisha…
Ujenzi wa Uzalendo si Suala la Mjadala
Wale wanaosikiliza hotuba za Rais John Magufuli, kuna kitu wanakipata mara kwa mara. Sijasikia hotuba yake yoyote akikosa kutaja neno ‘uzalendo’. Amediriki kusema viongozi, akiwamo yeye, watapita lakini Tanzania itabaki; na ili ibaki, Watanzania wote hatuna budi kuwa wazalendo. Rais…