JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

MKAA MBADALA UNAVYOCHOCHEA HIFADHI YA MAZINGIRA KILIMANJARO

NA JAMES LANKA, MOSHI Ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa unaotumika na wananchi wengi hasa wa kipato cha chini na cha kati kuwa nishati ya kupikia, unachochea uharibifu wa mazingira katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ingawa…

GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA

NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…

Rushwa ni Wizi, Dawa Yake ni Uwazi

“Rushwa ni wizi wa fedha za umma”. Hivyo ndivyo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, Roeland van de Geer, anavyotaka Watanzania waielewe rushwa. Rushwa, kwa mujibu wa Balozi Geer, ni chanzo kikubwa cha…

Ukikata Tamaa, Palilia Matumaini

Usikate tamaa, jua linapozama, nyota na mwezi vinachomoza, kuwa na matumaini. Alexander the Great alipokuwa anafanya kampeni aligawa zawadi mbalimbali kwa rafiki zake. Katika ukarimu wake karibu alitoa kila kitu alichokuwa nacho. Rafiki yake alimwambia: “Bwana hutabaki na kitu chochote.”…

Ushauri Wangu kwa Dk. Kigwangalla

Kwenye vitabu vya dini tumezuiwa kujisifu, lakini hatukatazwi kutangaza mafanikio. Ndiyo maana nakiri kuwa miongoni mwa wadau tuliosimama imara kuhakikisha tunaondoa ukiritimba wa Chama cha Wamiliki wa Kampuni za Uwindaji wa Kitalii Tanzania (TAHOA), kutoka kwenye mizengwe ili kiwe na…

Uzalendo si Suala la Hiari

Desemba 8, mwaka huu, Taifa letu lilizindua kampeni ya Uzalendo hapa nchini. Uzinduzi ule ulifanyika Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete na ulifanywa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais John Magufuli. Hili ni jambo zuri…