JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

Mafanikio yoyote yana sababu (11)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha   Shukrani ni sababu ya mafanikio. “Kama unataka kugeuza maisha yako, jaribu kushukuru. Maisha yako yatabadilika kwa kiasi kikubwa sana,” alisema Gerald Good. Ingawa tuna mioyo midogo, lakini inaweza kubeba jambo kubwa nalo ni shukrani. Hesabu mafanikio…

Ethiopian Airlines wanakula nini?

Na G. Madaraka Nyerere Tumesikia hivi karibuni kuwa kati ya mashirika ya umma ambayo yanapata hasara kubwa ni Air Tanzania Corporation Limited (ATCL), shirika letu la ndege la Taifa. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa…

Yah: Tunajali vyeti na siyo uwezo wa mtu binafsi

Nianze na salamu za mfungo wa mwezi kwa Wakristo wenzangu. Najua lengo mojawapo ni kuombea amani na upendo baina yetu. Najua kwamba wengi wetu tunafaidi hii hali ya utulivu tulionao tofauti na mataifa mengine ambayo wakati mwingine hawajui kesho yao…

Mafanikio Yoyote Yana Sababu (9)

Na Padre Dk Faustin Kamugisha   Nia ni sababu ya mafanikio. Penye nia pana njia. Mtazamo wa “lazima nifanye kitu,” unatatua matatizo mengi kuliko mtazamo wa “kitu fulani lazima kifanyike.” Mtazamo wa kwanza una nguvu ya nia. “Nia yetu inaumba…

Benedict Rasha Ndiye Aliyegundua Kuungua kwa Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka

Na Albano Midelo Benedict Mapunda (Rasha) mwenye umri wa miaka 66 mkazi wa kijiji cha Ntunduwaro ndiye aliyegundua kuungua moto kwa mgodi wa madini ya makaa ya mawe Ngaka uliopo Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma mwaka 2006. Inakadiriwa moto…

Matumizi ya Gypsum Kwenye Ujenzi Yanazua Hofu

Mwaka 2011 nililala kwenye hoteli ya mjini Moshi, chumba kilirembwa na dari iliyonakshiwa kwa jasi inayojulikana zaidi kama gypsum. Ilikuwa ni jasi iliyokaa muda mrefu na ilikuwa inapukutika kwa urahisi. Siku iliyofuata niliiugua, nikapatwa na homa kidogo na mafua, ingawa…