JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

GePG inavyoyapaisha mapato ya Serikali

Mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali yasiyokuwa ya kodi umezidi kuimarika kuthibitisha umuhimu wake katika kuongeza mapato, pongezi kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuanzisha Government e-Payment Gateway kwa kifupi GePG. Katika kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato ya…

Sekta binafsi ipitie upya tozo

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…

BUZWAGI INAFUNGWA… Wananchi wanaachwa vipi?

Mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi uliomo ndani ya Manispaa ya Mji wa Kahama unatarajia kuacha uzalishaji Juni mwaka huu, na kufungwa kabisa ifikapo mwaka 2026. Bila shaka habari hii si njema sana kwa wakazi wanaouzunguka mgodi huo, kwa kuwa…

Deni la taifa lakua Oktoba

Deni la nje la taifa ambalo linahusisha deni la serikali na deni la sekta binafsi, lilikua na kufikia dola milioni 22,569.4 za Marekani ilipofika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu, Benki Kuu (BoT) imeeleza. Taarifa ya Uchumi kwa Mwezi iliyotolewa…

Bei za vyakula zapandisha mfumko wa bei

Kupanda kwa bei za vyakula kumesababisha kupanda kwa kiasi kwa mfumko wa bei, Benki Kuu (BoT) imeeleza katika ripoti yake ya hali ya uchumi kwa mwezi Oktoba. Ripoti hiyo ambayo imetolewa mwezi uliopita inaonyesha kuwa mfumko wa bei kwa mwaka…

Bandari ya Dar kuhudumia kontena milioni 16

Na Michael Sarungi Ukarabati unaofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, umewezesha ongezeko la kuhudumia shehena za mizigo kutoka tani milioni 10 kufikia tani milioni 16 kwa mwaka. Kiwango hicho kinatarajiwa kuongezeka kufikia tani milioni 25 mwaka 2030, ikichochewa na…