Category: Uchumi
Benki ya NMB yaanzisha mikopo ya bajaj
Benki ya NMB imeanza kutoa mikopo ya pikipiki zinazotumia magurudumu matatu (bajaj) kwa wajasiriamali nchini.
Kamati ya Pinda imalize mgogoro wa uchinjaji
Mwanzoni mwa mwaka huu, uliibuka uhasama mkubwa uliohusisha pande mbili za dini ya Kiislamu na Kikristo mkoani hapa. Uhasama huu ulianza kama ‘mchicha’ kwa viongozi wa pande hizi mbili kuzuliana visa kutokana na nani au dini gani inastahili kupewa heshima ya kuchinja wanyama kwa ajili ya kitoweo.
Wafanyakazi ‘wazembe’ ni msiba kwa ujasiriamali
Mwishoni mwa Februari, wakati nikisafiri kutoka Wilaya ya Mvomero kuelekea Kilombero, nilipofika mjini Morogoro, niliingia kwenye basi linalofanya safari kati ya Morogoro na Ifakara.
Uchumi ndiyo lugha ya Afrika Mashariki
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikiandika waraka wa kiuchumi kwa wafanyakazi. Kwa ujumla wake, waraka huo utaendelea hadi sehemu ya 10. Kutokana na urefu huo, nimepanga kutouleta kwa mfululizo wa wiki zinazofuatana, badala yake nitakuwa ninauleta kwa wiki tofauti, mwaka huu.
Uzalendo wa Dk. Reginald Mengi
*Asaka ufumbuzi wa matatizo ya Watanzania nje ya nchi
*Ateta na mabalozi wa nchi mbalimbali, waonesha nia
Hakika juhudi zake hizi zinadhihirisha jinsi alivyo mzalendo mwenye dhamira ya kuona uchumi wa nchi unakua kama si kustawi, na maisha bora yanawezekana kwa kila Mtanzania.
Waraka wa uchumi kwa wafanyakazi (2)
Wiki iliyopita niliandika sehemu ya kwanza ya waraka huu. Pamoja na mambo mengine, nilichambua kwa kina sababu moja kati ya tatu zilizonisukuma kuwaandikia waraka huu.