Category: Uchumi
Mambo muhimu kuanzisha biashara
Biashara ni pamoja na hali ya kununua na kuuza kuzalisha mali na kuuza utaalamu wito na makubaliano ya kipekee yenye lengo la kibiashara kwa nia ya kupata faida.
Vuta nikuvute Kituo cha Mabasi Ubungo
Wadau mbalimbali wanaotoa huduma za aina tofauti katika Kituo cha Mbasi yaendayo mikoani na nje ya ncha cha Ubungo jijini Dar es Salaam wamehushutuma uongozi wa kituo hicho kwa kile walichokiita kuwa ni utaratibu mbovu wa uendeshaji.
MISITU & MAZINGIRA
Tupande miti kukuza uchumi wetu (3)
Sehemu ya pili ya makala hii, mwandishi alieleza juu ya kuletwa nchini mbegu za mikalatusi kutoka Australia (ambako kuna zaidi ya aina 600 ya miti hiyo) kwa ajili ya kufanyiwa majaribio. Endelea…
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (Hitimisho)
Katika sehemu ya 17 ya makala haya, Dk. Khamis Zephania, pamoja na mambo mengine, alielezea dawa za viua vijasumu, vizima asidi na upasuaji. Sasa endelea kumfuatilia zaidi katika sehemu hii ya mwisho…
Karibu watu 300,000 kote duniani hufanyiwa upasuaji kutokana na madhara yaletwayo na vidonda vya tumbo ambayo huzalisha magonjwa mengine. Vyakula: Kipengele kikubwa katika matibabu ni kula mlo sahihi na tabia nzuri katika namna ya kula vyakula.
PPF yapongezwa utekelezaji sera ya Ukimwi
Mfuko wa Pesheni ya Mashirika ya Umma (PPF) imefanikiwa katika suala ka kujikinga, kuzuia maambukizi ya VVU sehemu ya kazi.
MISITU & MAZINGIRA
Tupande miti ili kukuza uchumi wetu (2) Urahisi wa kutumia mkaa si bei yake, bali ni kutokana upatikanaji wake (unasambazwa sehemu nyingi mijiji na wauzaji wadogo wadogo) na mtumiaji halazimiki kuweka mkaa mwingi, bali ananunua kulingana na mahitaji ya kila…