Category: Uchumi
Magari mengi nchini ni utajiri au ulofa?
Kwa muda mrefu sasa nina dukuduku la kuuliza Wanatanzania wenzangu hasa wale wachumi waliobobea kama akina Profesa Ibrahim Lipumba au Profesa Simon Mbilinyi vile. Suali langu; ni vigezo gani katika Taifa linaloendelea vinaonesha kukua kwa uchumi katika Taifa? …
Ni vema kudhibiti nguvu ya fedha
Kimsingi fedha inapomjia mtu huwa inaambatana na nguvu fulani kubwa sana yenye chembe chembe za umiliki. Ni vema tukafahamu kuwa duniani kuna nguvu nyingi sana, lakini nguvu ya fedha pamoja na nguvu ya mamlaka zinatawala nguvu nyingine kwa sehemu kubwa….
Amani Tanzania inatuponyoka taratibu
Kwa muda sasa nimefuatilia matukio yanayoendelea nchini. Nimesoma habari mbalimbali zinazoonesha askari polisi wakiuawa kwa risasi na kunyang’anywa bunduki katika maeneo kadhaa hapa nchini. Tumesikia ‘magaidi’ katika mapango ya Amboni Tanga. Vituo vya…
Mimi ni Mwalimu, niliingia siasa kama ajali tu
Watanzania mwaka huu wanaingia kwenye Uchaguzi Mkuu wa tatu, bila ya mwasisi wa Taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Taarifa zinasema kwamba Nyerere alizaliwa mwezi kama huu, tarahe 13 (ya jana),…
Matabaka katika elimu yanarudi?
Siku za karibuni hapa Dar es Salaam, jiji letu kioo cha Taifa hili, kumeonekana mabasi kadhaa yaliyoandikwa “INDIAN SCHOOL BUS” na mengine “YEMEN SCHOOL BUS”. Baadhi yetu walimu wa zamani tumeshtuka na kufikiria mbali kule tulikotoka enzi za ukoloni. Bado…
Barua ya kijasiliamali kwa wanawake
Ndugu akina mama na akina dada, nawasalimu kwa salamu za fedha ziletwazo na uchumi na ujasiriamali. Naamini barua hii itawafikia salama mkiwa mmesherehekea Pasaka kwa amani na mkiwa mmeanza robo ya pili ya mwaka kwa mafanikio. Si mara yangu ya…