Category: Uchumi
Biashara za ‘Kidijitali’
Hihitaji mamilioni kuzalisha mabilioni isipokuwa unahitaji wazo, taarifa, uwezo wa kuwasiliana na ujasiriamali vitakavyokuletea mabilioni. Vile vile miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania kuna vijana wamebuni mfumo wa kukata tiketi kwa kutumia simu za mikononi. Kinachofanyika ni kwamba unakata…
Biashara za ‘Kidijitali’
Mwezi uliopita nilizindua kitabu changu kipya kiitwacho ‘MAFANIKIO NI HAKI YAKO’ ambacho kinauzwa kwa njia ya mtandao. Jambo kubwa nililolifanya kutokana na kitabu hiki ni kuandaa mfumo unaoendelea kumsaidia mtu anayenunua kitabu hiki kuyaweka katika vitendo yale atakayoyasoma na kujifunza…
Nani awafute machozi wamiliki wa daladala?
Kwanza nianze kwa kuwasalimu na kuwapa hongera kwa kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu. Najua mashabiki na wafuasi wa wagombea, presha zinapanda na kushuka kila siku. Nawatakia heri kwa kuwa maisha yataendelea hata baada ya Oktoba 25, sisi wa…
Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje? (2)
Watanzania wengi tunaendesha biashara kienyeji. Hatuna mifumo ya kibiashara, hatuna malengo ya biashara na wala hatuna mwelekeo wa kibiashara. Wengi wetu tunategemea kudra za mwenyezi Mungu kutufikisha mwakani, hatuna uhakika na tunakoenda wala hatujui tutafika lini. Tuna macho ya kuitazama…
Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje?
Nianze kwa habari njema. Nimeandika kitabu cha pili kiitwacho ‘Kufanikiwa ni haki yako.’ Ni kitabu ambacho kimebeba maarifa, visa vya kusisimua na mikasa kuhusu safari za maisha ya mafanikio ya watu mbalimbali waliofanikiwa duniani. Kwa mfano, katika kitabu hiki ninakuletea…
Mjasiriamali na uhakika wa kesho
Mara nyingi ninapochambua masuala haya ya biashara na uchumi huwa ninakwama kupata maneno yaliyozoeleka katika Kiswahili ili kuelezea dhana fulani fulani. Hii haimaanishi kuwa Kiswahili hakina maneno hayo, la hasha! Isipokuwa kutumia maneno hayo kunaweza kuwapoteza wengi na kutoeleweka kirahisi….