Category: Siasa
Nyerere: Nuru ya amani iliyozimika
“Ugonjwa huu sitapona Watanzania watalia Nitawaombea kwa Mungu”
MIAKA 13 iliyopita Taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi mazito kutokana na kifo cha mwasisi wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Rais Nyerere alipokosa maji ya kuoga Kibondo
Mpenzi msomaji wa JAMHURI, katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo Mwalimu Nyerere alijizatiti kutetea Muungano na mambo mengine mengi kwa maslahi ya Taifa letu. Sasa endelea na sehemu hii ya mwisho ya makala hiyo…
Nyerere shujaa wa Tanzania, Utanzania na Watanzania
Kati ya watu wagumu kuwajadili hapa duniani ni Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Uuzaji ardhi
“…Tukiruhusu ardhi iuzwe kama kanzu, katika muda mchache, kutakuwa na kundi dogo la Waafrika wakiwa na ardhi na walio wengi watakuwa watwana.”
Je, Mwalimu Nyerere aliunyonga ujasiriamali?
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea, mara tu baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake.
Mwalimu Nyerere kuking’oa CCM madarakani?
Tunaojua historia ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere, hatusiti kutamka wazi kwamba Mwasisi huyo wa Taifa letu huenda akaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku si nyingi zijazo.