Category: Siasa
Umamluki katika siasa
Neno mamluki limekuwa linatumika zaidi kwa askari wa kukodishwa hapa ulimwenguni. Wakati Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasherehekea mwaka wake wa tano tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1969, Amiri Jeshi Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, alitamka neno “MERCENARY”…
UTAFITI: Vyuo vikuu kuna ‘mateja’
Matokeo ya utafiti uliofanywa na Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCC), umebaini kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hasa vya Dodoma pamoja na baadhi ya askari polisi wa mkoa huo, wamekuwa watumiaji wakubwa wa dawa hizo. Mtaalamu kutoka DCC…
Watanzania sasa tukatae kutawaliwa
Minyukano ya kutafuta uongozi nchini tayari imeshaanza. Tumeshuhudia ya kushuhudiwa, mitandao nayo ipo kazini usiku na mchana. Inashangaza kuona harakati za kutaka kuwatawala Watanzania ambao dalili zinaonesha kuanza kupevuka uelewa, zimeanza kujidhihirisha. Wanaotaka utawala wamejisahaulisha ahadi zao na matatizo ya…
CCM na utawala uliofitinika
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kujifunza au kimepuuza matokeo ya migawanyiko na anguko kwa serikali mbalimbali duniani ziliendekeza tawala za kiimla dhidi ya haki, utu na usawa. Anguko la tawala dhalimu zilizodumu madarakani kwa ubabe na kukosa nguvu za hoja…
CCM yachomoa tena panga lake
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea malalamiko mengi juu ya ukiukwaji wa taratibu na kanuni kabla na wakati wa kura za maoni, hivyo sasa vikao vizito vya chama vinatarajiwa kufyeka wagombea watakaotiwa hatiani. CCM ina utaratibu wa kukata majina ya makada…
Yah: Mimi siasa basi, naomba kazi mpya
Ukisikia mtu mwenye mkosi katika maisha ya siasa basi ni mimi Mzee Zuzu, ninayeishi huku Kipatimo. Naishi maisha magumu sana tangu nchi hii ilipopata Uhuru hadi imekomaa kwa Uhuru wake. Nimepigana usiku na mchana tangu nikiwa barobaro hadi naingia utu uzima,…