Category: Siasa
Kwa hili nasimama na David Cameron
NAANDIKA makala hii nikiwa jijini Manchester kwa shughuli maalumu ya kimichezo, nikiwa mdau kiasi. Naandika nikiwa bado na tafakari nzito na hofu juu ya hali ya vyombo vya habari vya Uingereza huko tuendako.
Fursa ya biashara ya mtandao duniani
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wetu ambao mmekuwa mkifuatilia safu hii kwa umakini mkubwa. Niwashukuru kipekee wote wanaonipigia simu, kuniandikia ujumbe mfupi (SMS) na baruapepe. Michango yenu wasomaji ina msaada mkubwa sana katika maeneo matatu.
Mosi, inanipa taarifa kwamba ninachokiandika kinasomwa.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 2
Inatoka toleo lililopita.
Jicho la kulia linaona dini ni mojawapo ya ngao zake katika kuwadhibiti na kuwahukumu raia wake wenye kutenda maovu au kwenda kinyume cha sheria za dola.
Baadhi ya maazimio ya CCM yametuhadaa
Ni jambo zuri kuona na kusikia Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umetoa maazimio ya kukiimarisha chama hicho tawala na kushughulikia changamoto mbalimbali nchini.
JKT ni mtima wa Taifa (4)
Leo nchi yetu ina vyama vingi, lakini cha kufurahisha kwangu mimi ni kuwa karibu viongozi wote wa vyama vya siasa wamehenya katika kambi za JKT kwa mujibu wa sheria. Ebu angalia hapa, Mwalimu Nyerere (Operesheni Mwenge Mafinga- siku moja), Rais Jakaya Kikwete (Operesheni Tumaini – Ruvu kwa Mujibu wa Sheria), Benjamin Mkapa (Operesheni Tekeleza Ruvu – Mature Age).
Mradi wa Nyumba za Bei Nafuu Mchikichini Wazinduliwa
Zitauzwa kwa wananchi wa kawaida, Waziri Tibaijuka aimwagia sifa NHC Watanzania wasio na viwanja sasa hawana sababu ya kuendelea kuhangaikia changamoto hiyo kwa vile Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza kujenga nyumba za kuishi kwa ajili ya kuwauzia kwa bei nafuu.