Category: Siasa
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
Habari mpya
- Wafanyabiashara waipa kongole TPA kuboresha huduma za bandari na kuongeza mapato ya Serikali
- Rais Samia amlilia Papa Francis
- Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
- Dunia yapata pigo kwa kumpoteza Papa Francis
- Mchungaji Dk Getrude Rwakatare aendelea kukumbukwa
- Serikali yashauriwa kumwachia huru Lissu na wenzake
- Papa awatakia waumini Pasaka njema
- Watu wenye silaha wamewaua takribani watu 56 Nigeria
- Zelenskiy ametoa salamu za Pasaka kwa kuilalamikia Urusi
- Askofu Chilongani : Serikali, CHADEMA kaeni meza moja mmalize tofauti zenu
- Balozi Matinyi : Nitatumia mbinu za kihabari kung’amua na kujifunza mikakati ya kuvutia utalii
- Waziri Majaliwa atoa rai kwa viongozi wa dini kuombea Uchaguzi Mkuu 2025
- Wanane wachukua fomu kugombea Jimbo la Wete
- Dk Biteko awaasa wakristo kuliombea taifa
- Mchungaji Mbeya auawa kwa tuhuma za ushirikina
Copyright 2024