JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Tusiwasahau Wapalestina

Juma lililopita Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza uamuzi wa serikali yake kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo Tel Aviv kwenda Jerusalem. Ni hatua inayotokana na tamko kuwa serikali yake imetambua rasmi kuwa Jerusalem ni makao makuu ya Israel. Ni hatua…

Hakuna Uzalendo wa Hiari

Namwona Deodatus Balile kwenye Malumbano ya Hoja (ITV). Anajitahidi kueleza, lakini inshangaza sana baadhi ya wasemaji kunadi kuwa uzalendo ni suala la hiari!  Heee, ajabu sana! Uzalendo unajengwa tena kwa gharama kubwa -tutake tusitake- siyo suala la mtu kuzaliwa na…

Antonio Guterres ni nani?

Ni wazi sasa Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno, Antonio Guterres, ndiye Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuanza kazi rasmi  Januari 2017 Katibu Mkuu wa sasa, Ban Ki-moon atakapomaliza muda wake. Kwa sasa, kiongozi huyo anasubiri kuthibitishwa…

Tusisahau historia hii (4)

Kwa wale wazee wenzangu nadhani kama bado wanakumbuka vile vijarida vya Sauti ya TANU, vilikuwa vinatuhabarisha mengi siku zile. Kwa mfano Sauti ya TANU na. 18 ya Desemba 16, 1957 ibara ile ya 5 Mwalimu Nyerere alisema wazi wazi kwa…

Barua ya kiuchumi kwa Magufuli

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, nakusalimu kwa salamu za heshima. Salamu hizi zinakujia kutoka kwangu mwananchi mwaminifu kwa nchi yangu ambaye nimeamua kukupa mkono wa shirika katika eneo la kuujenga uchumi. Baada ya…

Tuhoji mpango mpya wa maendeleo wa UN

Mwezi uliopita Umoja wa Mataifa umezindua mpango mpya wa maendeleo na wa kupambana na umaskini duniani kufuatia kufikia tamati kwa Mpango wa Maendeleo ya Milenia. Mpango huu mpya unajulikana kama Sustainable Development Goals, na umepitishwa na viongozi wa nchi wanachama…