Category: Siasa
Tunahitaji Amani Kwenye Kampeni
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…
JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA
Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…
Pombe Hii Imekorogwa na Upinzani Wenyewe
Kama kuna wakati viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefaidi usingizi wa pono, itakuwa ni wakati huu. Kila kukicha tunasoma habari za kiongozi mmoja au mwingine akihama kutoka chama cha upinzani na kujiunga CCM. Wengi wao ni…
Barua ya Wana Moshi kwa Rais John Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, barua yetu inahusu BOMOA BOMOA YA RAHCO KATIKA ENEO LA PASUA BLOCK JJJ ILIYOSABABISHWA NA MGONGANO WA MAMLAKA MBILI ZA SERIKALI. Mheshimiwa Rais, kwanza tunapenda tuchukue fursa hii…
PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania
Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na…
Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi Yaja
Serikali ipo katika mchakato wa kuwashirikisha wadau ili kufikia azma ya kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kulinda taarifa binafsi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Maria Sesabo, amesema. Sesabo amesema hayo mjini Dodoma wiki iliyopita, wakati…