Category: Siasa
Rais ajaye na hatima ya Tanzania (1)
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema yote anayotujaalia. Naamini kuwa ni kwa uwezo na mapenzi yake Mungu ndiyo maana tunayaweza yote tuyatendayo katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo, ni wajibu na haki kumshukuru yeye aliye na uwezo na…
Rais safi inawezekana, tutimize wajibu
Mwaka 2015 una mshindo mkubwa kwa Watanzania, mshindo unaotokana na matendo matatu muhimu yanayowaweka wananchi katika hekaheka na fukuto la moyo.
Yah: Na mimi nataka ukuu wa wilaya siku moja?
NA BARUA YA S.L.P. Mzee Zuzu, C/O Duka la Kijiji Kipatimo, S.L.P. Private, Maneromango. Mtanzania Mwenzangu, Yahoo.com/hotmail.com/excite.com/www.http, Tanzania Yetu. Kuna tetesi kwamba ukuu wa wilaya unagawiwa kama njugu na wanaosema hivyo labda wana taarifa kamili juu…
Mwaka mwingine wa kumkumbuka Mwalimu Nyerere
Katika sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amenukuliwa akiwasihi wanachama wenzake kuhimiza kujitokeza mgombea atakayeiletea CCM ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
Kama Muhimbili imeboreshwa, kwanini watibiwe ng’ambo?
Rais Jakaya Kikwete, anatibiwa nchini Marekani. Walimwengu wametangaziwa kwamba Rais wetu amefanyiwa upasuaji wa Tezi Dume. Naungana na wote wanaomtakia siha njema ili hatimaye arejee nchini salama.
Tatizo la Tanzania si Katiba
Ujio wa Katiba mpya unasubiriwa kwa shauku kubwa na wananchi ambao naweza kusema wanapenda kumaliza matatizo kwa njia za kujipa matumaini.