Category: Siasa
Kinana atua Kigoma kwa ziara ya kuimarisha chama
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani pamoja na kusikiliza…
Kinana:Demokrasia imechangia CCM kukaa madarakani muda mrefu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na kutoa maoni yao….
Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi
Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi…
Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab
Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sababu, nimekitumikia chama changu muda mrefu, nimeona niachie damu mpya. Nimependa nipumzike, lakini hayo mengine yanayoandikwa ni ya kupuuza.” Ni kauli thabiti iliyojaa hiari na uungwana; na iliyoshiba haki usawa na ahadi kutoka…
Dodoma yakabiliwa na upungufu wa nyuma
NA EDITHA MAJURA Dodoma Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kuandikwa, amesema wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na Serikali kuwapatia makazi bora watumishi wanaohamia mjini humo. Kuandikwa amesema licha ya…
Mfumo wetu wa elimu haufai
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa takwimu tunazopawa kuzitumia kutafakari hatima yetu kama Taifa. Sasa inakadililiwa kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 54.2. Mwaka 2021 idadi hiyo itapaa hadi kufikia watu milioni 59. Hili ni ongezeko kubwa. Lakini imebainishwa…