Category: Siasa
Ya kale siyo yote ni dhahabu
Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…
Sababu za kufeli hizi hapa
Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…
Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi. Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…
Jukumu letu ni kuboresha TPDC – Mwanda
Kutokujiamini na kushindwa kuziendesha taasisi za umma nchini kwenda sawa na wakati, kumechangia kwa kiasi kikubwa mashirika mengi kufa na kuporomoka kiuchumi. Watafiti wa masuala ya kiuchumi wanasema kujiamini na ubunifu ni nyenzo muhimu kwa pande mbili kati ya…
Uraia siyo uzalendo (2)
Katika toleo lililopita niliishia kuchambua maneno ya mwanzo yaliyokuwamo kwenye Katiba Tanganyika ya 1961 mara baada ya Uhuru. Maneno ya utangulizi kutoka kwa Mwalimu Nyerere yaliyosomeka hivi: namnukuu, “In particular I trust that the young will take particular…
Chombo kwenda mrama, kurejesha lawama
Neno CHOMBO katika lugha yetu ya Kiswahili lina maana au tafsiri nyingi katika matumizi. Katika tafsiri sahihi na sanifu CHOMBO lina maana sita kwa maelezo yaliyomo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu, toleo la pili la 2004. Kamusi hiyo kwa ufupi…