Category: Siasa
Matabaka katika elimu yanarudi?
Katika makala yangu, iliyotoka wiki iliyopita nilianza kujadili kurudi kwa mataba ya elimu katika jiji la Dar es Salaam ambalo ni kioo cha taifa hili. Hii ilitokana na kuonekana mabasi kadhaa yaliyoandikwa “INDIAN SCHOOL BUS” na mengine “YEMEN SCHOOL BUS”….
Mbona Oktoba inachelewa?
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilituhumiwa kuendesha njama za kuifanya Serikali isitawalike. Sababu kuu iliyowapa nguvu wabaya wa Chadema kusema hivyo ni uamuzi wa chama hicho cha upinzani kukataa kutambua ushindi wa…
Yah: Sasa turejee maandiko na maagano ya wahenga
Ikifika Oktoba mwaka huu wakati wa uchaguzi wa rais wa awamu ya tano, tutakuwa tumepiga hatua nzuri na ya kujivunia kuwa na utawala bora na siyo bora utawala. Watanzania tutakuwa tumetumia demokrasia yetu ya kuchagua Serikali mpya bila kuwa na…
Ukombozi na mapinduzi kwa wanawake
Napenda kusema kwa mama zangu kuwa suala la ukombozi daima huambana na mapinduzi. Hayo ni mapambano yanayohitaji dhamira, busara, ujasiri na utashi wa kujikomboa kifikra na kiutamaduni. Kabla sijazungumzia ukombozi na mapinduzi ya mwanamke wa Kitanzania, nimeamua kwanza kuwafahamisha imani…
Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi
DHAMANA NININI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo. Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni…
Sheria ya Makosa ya Mtandao ina hitilafu kubwa
Nilipata fursa ya kushuhudia kwenye runinga majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015. Kwa mtazamo wangu, sheria ikianza kutumika kutakuwa na ongezeko kubwa la watumiaji wa mawasiliano; hasa ya simu, kubebeshwa makosa, kulipa faini, na…