JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

CCM ni ya kuzikwa tu Oktoba 2015

Watanzania, mabadiliko ni leo si kesho; mabadiliko ni wiki hii si wiki ijayo; ni mwezi huu si ujao, mabadiliko ni mwaka huu si mwakani. Kesho hujaiona na hujui itakuaje, lakini uamuzi wako wa leo unaweza kuharibu kesho yako au unaweza…

JAMHURI latikisa tuzo za Ejat

Waandishi wa habari wa Gazeti la JAMHURI, Deodatus Balile na Victor Bariety, mwishoni mwa wiki iliyopita walijinyakulia tuzo za umahiri wa uandishi wa habari nchini (EJAT), zinazotolewa kila mwaka na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Balile aliongoza katika kundi la…

Mpinzani gani hana vinasaba vya CCM?

Weledi wa Sayansi ya Siasa wanaitambulisha siasa kuwa ni mfumo wa maridhiano unaohusisha kikundi cha watu walioafikiana kuwa na uamuzi wa pamoja (politics involves the making of a common decision for a group of people).  Kadhalika, uamuzi wa aina hiyo…

Magari mengi nchini ni utajiri au ulofa?

Kwa muda mrefu sasa nina dukuduku la kuuliza Wanatanzania wenzangu hasa wale wachumi waliobobea kama akina Profesa Ibrahim Lipumba au Profesa Simon Mbilinyi vile.   Suali langu; ni vigezo gani katika Taifa linaloendelea vinaonesha kukua kwa uchumi katika Taifa?  …

Kwa utaratibu huu, rais aliye bora atapatikana kweli?

Nafuatilia kwa karibu matamshi na maandishi ya makundi mbalimbali ya kisiasa yanayounga mkono wagombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Mahususi ni kusisitiza kwao sifa za msingi za mgombea urais. Napata maswali mengi, majibu machache.   Kwa sababu ya…

Historia itaihukumu CCM Oktoba

Ninaanza mada hii kwa kuyanukuu maneno ya Fulton J. Sheen aliyekuwa Askofu wa Kanisa Katoliki huko Marekani. Alinena; “Usiogope kukosolewa kama upo sahihi, na usikatae kukosolewa kama hupo sahihi.”   Kwa sababu ninakwenda kuzungumzia mustakabali wa Taifa letu, inanilazimu kukosoa…