JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Mila za Wazanaki: Mwitongo na Muhunda

Baada ya makala ya juma lililopita juu ya lugha ya Kizanaki, naendeleza makala inayofafanua mila na tamaduni za kabila la Wazanaki. Eneo la Butiama linalojulikana kama “Mwitongo” linatokana na neno la Kizanaki lenye kumaanisha “mahame”, eneo ambalo lilikuwa na wakazi…

JK iwezeshe NEC, ikifika Oktoba uende Msoga

Imenichukua takribani wiki mbili kutafakari kauli ya Mwenyekiti wa NLD, Dk. Emmanuel Makaidi, ambaye ni miongoni mwa wenyekiti wenza wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).   Katika mkutano na waandishi wa habari, Dk Makaidi akiwa…

Wachina wamkunja Meya Dar

Kampuni ya Ujenzi ya Tanpile Ltd ya China inalalamikiwa na wananchi waishio katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwa uchafuzi wa mazingira na kelele usiku kucha, zinazosababisha washindwe kupumzika, JAMHURI inaripoti. Kampuni hiyo licha ya kupewa amri ya Mahakama…

Jimbo la Kiteto lawaniwa na watano

Jumla ya watu watano wametajwa kuwania Jimbo la Kiteto lililopo mkoani Manyara, kumrithi Mbunge Benedict ole Nangoro (CCM), anayemaliza muda wake mwaka huu. Waliotajwa kutaka kuingia katika kinyang’anyiro hicho ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papian, Amina…

Ukimya wetu kwa CCM hii, unatosha

Mara baada ya kusoma makala hii, bila shaka utabaki kwenye akili ya mmoja wa wanafalsafa wa Uingereza aliyeitwa Francis Bacon (1561-1626). Alipata kunena kwamba “Anayeuliza mengi atajifunza mengi, na kubaki na mengi.”   Hii maana yake ni kwamba hakuna mtu…

Brig. Jenerali Mbitta aipa siri JAMHURI

Wiki mbili tangu kufariki na kuzikwa kwa Brigedia Jenerali Hashim Idd Mbitta, gazeti la JAMHURI limeibuka na makala ya mwisho aliyofanya mpiganaji huyo na aliyekuwa mwandishi wa mwandamizi wa gazeti hili, EDMUND MIHALE.  Katika mahojiano hayo yaliyofanyika Desemba 2013, Mhariri…