JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Nenda Sophia Yamola, nenda mpekenyuzi ukidai haki yako

Katika kipindi cha wiki moja, tasnia ya habari imepata pigo kubwa kwa kuwapoteza wapiganaji wake wawilikatika tasnia hii. Kwanza alikuwa ni Samwel Chamulomo, aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Kanda ya Kati, mauti yalipomkuta akiwa mkoani Dodoma. Pili ni Sophia Yamola, mwandishi…

Tumelogwa kuwa wanafiki

Awamu ya kwanza ya harambee ya ujenzi wa kituo cha yatima, shule ya sekondari na msikiti Patandi, Arumeru mkoani Arusha, imefana kwa kiwango kikubwa na kuwa miongoni mwa vielelezo muhimu vya kuuendeleza umoja na mshikamano wa Watanzania bila ya kujali…

Hatma ya Tanzania iko kwa Jaji Lubuva

Waliosoma maandishi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji Mark Bomani, watakubaliana na mawazo yake. Hoja yake kuu ni kwamba Katiba mpya katika mazingira ya sasa ya nchi yetu, haiwezekani. Kwa maana hiyo hatuwezi kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka…

Yah: Laana yangu kwa hawa, baraka kwa wale

Sasa niseme rasmi kuwa mimi nakubali siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kuwa nguzo yetu ya kujitegemea na kututoa hapa tulipo na kutupeleka katika nchi ya ahadi ya kunywa maziwa na asali, nchi ya ahadi ya Eden ambayo kwa hakika ndiyo…

Salaam wafanyakazi wote

Itakumbukwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei mosi mwaka huu, iliyofanyika kitaifa Uwanja wa Michezo CCM Kirumba, Mwanza, yalionekana na kusikika mambo mengi ikiwamo michezo, ngoma na nyimbo zilizosifu na kushauri utendaji bora wa kazi na kudumisha nidhamu ya…

CCM ina nia mbaya kwa makada wake?

Baada ya danadana ya muda mrefu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoendelea kukwamisha kumtangaza mgombea wao wa urais, sasa naamua kusema. Hii ni kwa sababu ni mwanachama wa kawaida na sina nafasi ndani ya vikao vya Kamati Kuu wala Halmashauri…