Category: Siasa
Miaka 39 imetimu, tuendelee kuomboleza mauaji Soweto
Leo ni Juni 16, 2015. Tarehe kama hii mwaka 1976 katika mji wa Soweto nchini Afrika Kusini, watoto wa shule wapatao 600 waliuawa na utawala wa Wazungu (makaburu) kwa kumiminiwa risasi za moto wakiwa katika maandamano ya amani kupinga mtaala mpya…
Siasa zinaishia getini
Moja ya majukumu yangu nikiwa Butiama ni usimamizi wa kutangaza Kijiji cha Butiama kama kivutio cha utalii ndani ya programu ya Utalii wa Utamaduni inayoratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania. Butiama inajumuisha vivutio vya utalii vya aina mbalimbali, ikiwa ni…
Ada ya kutafuta hati ya nyumba, kiwanja
Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina yaani kutoka mmiliki wa mwanzo kwenda kwa mmiliki mpya aliyenunua. Upo usumbufu ambao husababishwa kwa makusudi na maafisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka…
Msuya asisitiza: Kila mtu atabeba msalaba wake
Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, amesema ajenda kuu ya sasa kwa Mtanzania ni kupata elimu bora, lakini anasikitika kuona Rais Jakaya Kikwete akidanganywa, naye anakubali kudanganyika. Pia amesema hajutii kauli yake aliyoitoa akiwa Waziri wa Fedha kuwa “Kila mtu…
Nilivyomfahamu Brigedia Jenerali Hashim Mbita (3)
Wakati Mbita anaanza kazi katika Kamati ile ya Ukombozi, dunia iligawanyika katika pande mbili ki-mawazo na mitazamo. Hii kisiasa tuliita enzi za vita baridi kati ya mataifa ya Ulaya (upande wa Magharibi na upande wa Mashariki). Hili nalo lilileta changamoto…
CCM tunayoiona ni uhunzi wa Kikwete
Kuna ule msemo wa “vita ya panzi, furaha ya kunguru”. Vyama vya siasa vya upinzani, kama kweli vina dhamira ya dhati ya kupata uhalali kutoka kwa Watanzania, mwaka huu wa 2015 ni mwaka sahihi kabisa wa kutimiza azma hiyo. Endapo…