Category: Siasa
Tunamhitaji Rais Mtendaji Mahiri, Jasiri
Wanaowania urais wa Awamu ya Tano Tanzania, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walianza kuchukua fomu mjini Dodoma Jumatano Juni 3, 2015. Inaonekana wengine waliokuwa wanatajwatajwa, wanasita, hawajajitokeza kugombea, hawajachukua fomu! Labda watajitokeza baadaye, au wanaona hawana nafasi nzuri….
Adui wa Tanzania yupo Tanzania
Mwandishi wa Gazeti la JAMHURI, Manyerere Jackton, katika makala yake iliyokuwa na kichwa cha habari, ‘Kutokufanya kitu nako ni kufanya kitu’, toleo Na. 190 aliandika hivi, ‘Ukiyatafakari mengi yanayolikabili Taifa letu, hata kama ulikuwa na nia ya kugombea urais, unaweza…
Hii ni vurugu ndani ya CCM – Msuya
Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania, Cleopa David Msuya, anaamini kwamba Uchaguzi Mkuu wa tano baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika Oktoba kama ulivyopangwa. Bosi huyo wa nchi aliyeshika wadhifa huo uliokwenda sambamba na umakamu wa…
Vijana wapewe nafasi Uchaguzi Mkuu (1)
Nchi imekuwa katika hali ya wasiwasi na ya sintofahamu juu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Aidha, pamekuwapo minong’ono au ati kuwa huenda uchaguzi usifanyike mwaka huu wa 2015. Huko nyuma kama tunakumbuka Waziri Mkuu aliwahi kusema bungeni kuwa Uchaguzi…
Pinda angepumzika tu
Miaka kadhaa iliyopita, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliwaita wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake, Dar es Salaam. Akazungumza mambo mengi. Nilipata bahati ya kualikwa, na ya kumuuliza swali. Swali langu, ukiacha ule mgogoro alioshindwa kuutatua- mgogoro wa ardhi Kwembe-Kati,…
Yah: Kuna koo za uongozi, koo za biashara
Nakumbuka zamani wakati wa machifu, waliokuwa viongozi wetu wa kijadi, walikuwa wanamiliki mashamba kidogo, wake kidogo, na mali ya jamii inayowazunguka. Mali iliyomilikiwa na chifu na ambayo kimsingi ilikuwa ya jamii ni pamoja na mashamba, chakula, busara, na uamuzi mzito…