JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Yah:  Uongozi sasa ni kama kazi na siyo karama, uwezo

Juzi jioni, mtoto wangu wa mwisho nilisikia anataka kugombea udiwani uchaguzi ujao, nikamuuliza maswali machache na aliweza kuyajibu kwa ufasaha.  Nikajua kweli huyu mtoto kawa mwanasiasa mkomavu katika umri mdogo. Nilipomuuliza sababu za kutokugombea katika uchaguzi uliopita, alijitetea kuwa umri…

Kangi Lugola ameeleweka

Mgonjwa afikapo kwa tabibu – iwe wa kienyeji, tiba za asili au wa kisasa – hakurupukiwi kupewa dawa.   Mtaalamu wetu wa jadi atapiga ramli kubaini chanzo cha kuumwa na upande wa yule wa tiba za kisasa atautanguliza uwezo wake mkubwa…

Wingi wa watu: Athari, faida zake

Uzazi wa mpango umekosolewa na baadhi ya watu kuwa ni njama za nchi za Magharibi ambazo zinakabiliwa na tatizo la, ama kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa, au kuwa na familia ambazo hazina watoto kabisa. Kwa upande mmoja wingi wa…

Punguzo jipya la kodi, tozo, ada za ardhi

Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipowasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka fedha 2015/16 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizungumzia mambo mengi ambayo ni muhimu…

CCM iruhusu ushindani wa haki urais

Kwa wiki takribani nne hivi, sijaonekana katika safu hii. Sikuonekana kutokana na matatizo ya msiba, lakini pia nikalazimika kufanya kazi mikoani. Huku niliko nakumbana na tunachopaswa kupambana kukiondosha. Sehemu nyingi za mikoani hakuna huduma ya data (Internet), simu zipo ila…

Nini kimewachochea wasaka urais ?

Mara baada ya ratiba ya ndani ya CCM kutolewa, kumekuwapo na mfumuko wa wagombea waliojitokeza kuchukua na kurudisha fomu ya kuwania urais.     Swali la kujiuliza ni je, utitiri huu umechochewa na nini? Hoja hii ni mtambuka ambayo inagusa maeneo…