Category: Siasa
Wale wa Lowassa, msiwe kama Petro
Kwanini awe ni Lowassa na si wengine waliotia nia ya kuwania urais? Ukimshtukiza mtu yeyote na kumuuliza ni kada gani kati ya hao waliotia nia angependa awe rais ajaye, kila mmoja atatoa jibu lake kutokana na mapenzi aliyonayo kwa mgombea…
Kiburi chanzo cha ajali
Ajali ya gari iliyoua watu 23 papo hapo na kujeruhi wengine 34, imeongeza maumivu mengine kwa Watanzania ambako sasa takwimu zinaonesha zaidi ya abiria 1,000 wamepoteza maisha. Ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita ilihusisha basi la Kampuni ya Another…
Kampuni yatelekeza minara ya simu
Minara 292 ya mawasiliano iliyojengwa na Kampuni ya Simu ya Excellentcom Tanzania mwaka 2008, imetelekezwa bila kutoa huduma yoyote, JAMHURI linaripoti. Baada ya kuitelekeza kwenye viwanja ambavyo baadhi vina makazi ya wamiliki wa ardhi hiyo, kumefanya kampuni hiyo sasa kudaiwa…
Ngeleja anaamini katika haya
Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, ameahidi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba endapo atafanikiwa kuteuliwa na chama chake na baadaye kuchaguliwa na Watanzania, kazi itakayokuwa mbele yake ni kuhakikisha uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja unakua. Katika mahojiano kati yake…
Vijana wapewe nafasi Uchaguzi Mkuu (2)
Taifa linatarajia mabadiliko makubwa katika uchaguzi wa mwaka huu! Gazeti la Mwananchi Toleo No. 5419 la Jumatano Mei 27, 2015 uk. 33 limeelezea hoja zinazojitokeza kuhusu umri wa wagombea. “HOJA ZA UJANA, UZEE katika vuta nikuvute uongozi wa Tanzania” habari…
Shwekelela: Nikiwa mbunge Kyerwa itaendelea
Homa ya uchaguzi imeikumba wilaya mpya ya Kyerwa, ambapo sasa Pancrace Shwekelela anasema “wakati ukifika nitatangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kyerwa baada ya kushawishiwa na watu, vikundi na marafiki zangu.” Jimbo la Kyerwa kwa sasa linashikiliwa na…