Category: Siasa
Namhurumia Rais ajaye
Wakati mwingine Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete mwenyewe anatuanzishia mada zinazotufanya tumjadili. Hatupendi kumwandama Rais wetu, lakini kauli zake zinatufanya tujitose kumkosoa kwa sababu ya kuweka rekodi sawa sawa. Wiki iliyopita alinukuliwa akitetea uamuzi wa Serikali yake, ambao kimsingi ni uamuzi…
Yah: Hali ya kila anayedhani anaweza kuwa kiongozi
Kama kuna kitu kinanikera ni hii tabia ya mtu kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kuita watu wachache wanaomjua na aliowanunua wa mtaani kwake, na kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchi kuwa kiongozi wao. Kuna watu nadhani huwa hawajiangalii hata katika…
Nani kasema wanawake hawawezi?
Vyama vya siasa vilivyowahi kuanzishwa kati ya mwaka 1927 na 2015 katika nchi ya Tanganyika, Zanzibar hata Tanzania havikubahatika kubuniwa, kuasisiwa wala kuongozwa na wanawake bali ni wanaume tu. Huu ni msiba mkubwa kwa akinamama, lau kama zipo sababu za…
Changamoto za kulea watoto Tanzania
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza unaonyesha kuwa gharama kwa wazazi ya kutunza mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kutimiza miaka 21 zilikuwa ni Paundi (£) 227,267 za Uingereza. Hii ni taarifa ya mwaka 2014 na ni kwa mujibu wa kituo cha utafiti wa…
Jihadhari; haya ni mazingira ya kufutiwa umiliki wa ardhi
Watu wengi wana maeneo lakini wameyatelekeza. Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, kutelekeza eneo ni kosa ambalo mtendaji wake ambaye ni mwenye eneo anatakiwa kuadhibiwa. Nitoe tahadhari kuwa si vema watu kujisahau baada ya kuwa wamemiliki maeneo. Wakati…
Wale wa Lowassa, msiwe kama Petro
Kwanini awe ni Lowassa na si wengine waliotia nia ya kuwania urais? Ukimshtukiza mtu yeyote na kumuuliza ni kada gani kati ya hao waliotia nia angependa awe rais ajaye, kila mmoja atatoa jibu lake kutokana na mapenzi aliyonayo kwa mgombea…