JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Yah: Eti ngoma ya kitoto haikeshi? Nitathibitisha

Ngoma inogile – wale wa kucheza wanacheza na wale wa kushangilia wanashangilia na sisi watazamaji tunaoona utamu wa ngoma tumekaa pembeni kushuhudia mirindimo ya ngoma na mashairi yaliyopangika, ni burudani sana lakini ngoma yaelekea haitakesha mwisho ni alfajiri ya Oktoba….

Kweli tunahitaji mabadiliko?

Kwanza nianze kwa kuweka usahihi kwenye kichwa cha habari cha makala iliyopita katika safu hii ya Fasihi Fasaha.  Nilizungumzia juu ya “Usibadili bura yako na rehani”. Bura na rehani ni majina ya vitambaa vya hariri vyenye asili moja ya malighafi…

Tatizo siyo Edward Lowassa, ni Chadema

 Kupokelewa kwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kama mwanachama wa Chadema na kuteuliwa kwake kuwa mgombea urais wake ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kunapaswa kuwaacha hoi Watanzania wengi. Hoi kwa…

Tumekosea barabara za mwendo kasi (1)

Nianze hoja yangu kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uhai na amani ndani ya mioyo yetu, na hatimaye kuweza kuyafanya mengi tuyafanyayo kila kukicha likiwamo hili la ujenzi wa barabara za kuwezesha mabasi kwenda mwendo kasi. Kwa mantiki hiyo…

Makongoro Nyerere: Nichagueni ninyooshe nchi

Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tayari wamejitokeza watangaza nia 40 ambao wote wanawania kiti cha urais, waweze kumrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Kila anayetangaza nia…

Wachina wabuni uhujumu uchumi mwingine

Kwa sasa kumetokea mchezo mchafu unaofanywa na raia wa China na Singapore walio hapa nchini. Mchezo huu umeshamiri baada ya baadhi ya Wachina wasio waaminifu kushiriki biashara ya pembe za ndovu. Wameanzisha utaratibu wa kusajili kampuni za kusafirisha samaki hai…