JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Lema amjibu Wenje, amuita muongo

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema, amejitokeza hadharani kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje kuhusiana…

CCM haitaacha kuhoji watendaji wa Serikali

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema CCM hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa ukaribu miradi mbalimbali ya kimaendeleo na ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali. Chongolo ametoa Kauli hiyo leo Januari 30, 2023 katika Kata ya…

Harufu ya rushwa, CCM yaamua kufuta chaguzi baadhi ya mikoa

Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kwa dhamana ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Uchaguzi wa ndani ya chama unaonendelea huku ukifikia ngazi za mikoa chama na jumuiya, ametangaza kufuta uchaguzi katika baadhi ya maeneo, kusimamisha mchakato wa…

Kinana: Maalim Seif alikuwa na maono, msimamo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amedhamiria kuleta maridhiano na mageuzi ya uendeshaji wa siasa nchini. Kinana ameyasema…

Rostam:Tanzania,Zanzibar zitanufaika na mitaji inayotoka nje

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mfanyabiashara na mbunge wa zamani wa Jimbo la Igunga mkoani, Tabora Rostam Aziz,amesema kuwa elimu na ujuzi itasaidia kujenga mitaji wa umma wa ndani ili kuwezesha wananchi wa Rais wa Tanzania na Rais Zanzibar na wananchi kufaidika…