Category: JAMHURI YA WAUNGWANA
Tusishangilie kuua upinzani
Nichukue fursa hii kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa Ruge Mutahaba, pamoja na Watanzania wote walionufaishwa na kipawa cha mzalendo huyu. Umati wa watu waliojitokeza na wanaoendelea kujitokeza kumlilia Ruge unadhihirisha wazi aina au muundo wa kibinadamu wa Ruge….
Kufungwa Malkia wa Tembo si mwisho wa ujangili
Malkia wa Tembo amefungwa jela miaka 15. Hii ni habari njema kwa wahifadhi. Sijasikia wanaobeza hukumu hiyo, japo wapo wanaoona ni ndogo ikilinganishwa na tembo 430 waliotoweka kutokana na mwongozo wake. Kwenye kesi hii waliofungwa ni wawili. Huu ni “utani”….
Semina elekezi zisipuuzwe
Rais John Magufuli alipoingia madarakani alionyesha wazi kutoshabikia suala la ‘semina elekezi’ kwa wateule wa ngazi mbalimbali. Alipotangaza Baraza la Mawaziri alisema wazi kuwa hana mpango wa kuendelea na semina elekezi, bali lililo muhimu ni kwa wateule kuchapa kazi kwa…
Nani katuloga?
Wiki iliyopita Kampuni ya Mwananchi ilifanya jambo la maana sana. Iliandaa mjadala muhimu sana uliohusu athari za biashara na matumizi ya mkaa nchini. Nasikitika kutoshiriki mjadala huo. Hizi picha zinazoonekana hapa nilizipata wiki mbili zilizopita bila kujua kungekuwapo mjadala wa…
Tusiwe taifa la kuwaza mapumziko
Rais John Magufuli alipozungumza na viongozi wa dini, kwa chini chini kulionekana tofauti za hapa na pale. Tofauti hizo hazikuzungumzwa kwa mwangwi, na kwa maana hiyo ilisaidia kutoibua hisia za utengano. Kiongozi mmoja wa Kikristo alitoa maombi yaliyonikumbusha maneno niliyopata…
Rais nakuomba utafakari upya (2)
Ndugu Rais, sehemu ya kwanza ya waraka huu niliishia kwenye maneno ya hekima ya uhifadhi yaliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Agosti 10, 1975. Kwa ufupi Mwalimu alieleza matokeo ya dhambi ya kuteketeza wanyamapori na misitu iliyotendwa…