Category: JAMHURI YA WAUNGWANA
Siku nilipoitwa ofisini kwa Mwalimu…
Mwalimu anaumwa? Ni swali linalotuumiza. Hatuamini. Walio karibu wanazo taarifa, lakini wanatakiwa wawe watulivu maana kusambaza taarifa za ugonjwa wa Mwalimu kungeweza kuibua taharuki kwa maelfu na kwa mamilioni ya Watanzania waliompenda. Mwalimu ametoka Butiama Septemba 23, 1999. Amewasili Msasani…
Tusiache viwanja vya Jangwani vitoweke
Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam umebeba historia muhimu katika taifa letu. Mikutano kadhaa kipindi kile cha harakati za kudai Uhuru ilifanyika hapo. Jangwani imeendelea kujizoea umaarufu hata baada ya Uhuru. Mikutano mingi mikubwa imeendeshwa Jangwani. Mikutano ya kisiasa…
Kwa mfumo huu Rais ataendelea ‘kulia’
Baada ya panguapangua mkoani Morogoro iliyogusa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na Mkurugenzi wa Maendeleo (DED) wa Wilaya ya Malinyi, nikakumbuka makala niliyoiandika takriban miaka miwili iliyopita. Kwenye makala hiyo nilisema Charles Keenja aliongoza vizuri…
Bado machozi ya wanyonge ni mengi
Wiki kadhaa zilizopita Rais John Magufuli alitoa kauli nzuri yenye kuleta matumaini kwa waliopoteza au walioelekea kupoteza matumaini. Julai 18, mwaka huu, akiwa Kongwa mkoani Dodoma, alitamka maneno haya: “Mlinichagua kwa ajili ya watu wote, hasa wanyonge wanaopata shida. Siwezi nikatawala…
Kauli za viongozi ziwe za hadhari, zisilete mauaji
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, alipowataja wakuu wa mikoa wawili kuwa wamo kwenye orodha ya viongozi vijana watakaopelekwa kupata mafunzo ya uongozi, wapo ambao hawakumwelewa. Siku mbili baadaye, hao waliokuwa hawamwelewi, walimwelewa vizuri. Kati ya wakuu…
Tusibweteke kwa elimu bure
Julai 3, mwaka 1964 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alizungumza na watoto katika Ikulu ya Dar es Salaam. Kupitia mazungumzo hayo, alizungumza pia na watoto wote nchini kwa njia ya redio. Aliwaeleza watoto wajibu walionao kwa wakati huo,…