JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: JAMHURI YA WAUNGWANA

Siri ya Ugaidi

Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya.   Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…

Mahakama ya Kadhi yamgeuka Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliweka njiapanda Bunge la Jamhuri ya Muungano, baada ya kuwalazimisha wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitisha muswada wa Mahakama ya Kadhi. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Msekwa Machi 21, mwaka huu. Katika mkutano huo…

Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu

  Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi.  Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…

Jukumu letu ni kuboresha TPDC – Mwanda

  Kutokujiamini na kushindwa kuziendesha taasisi za umma nchini kwenda sawa na wakati, kumechangia kwa kiasi kikubwa mashirika mengi kufa na kuporomoka kiuchumi. Watafiti  wa masuala ya kiuchumi wanasema kujiamini na ubunifu ni nyenzo muhimu kwa pande mbili kati ya…

Uraia siyo uzalendo (2)

  Katika toleo lililopita niliishia kuchambua maneno ya mwanzo yaliyokuwamo kwenye Katiba Tanganyika ya 1961 mara baada ya Uhuru.   Maneno ya utangulizi kutoka kwa Mwalimu Nyerere yaliyosomeka hivi: namnukuu, “In particular I trust that the young will take particular…

Chombo kwenda mrama, kurejesha lawama

Neno CHOMBO katika lugha yetu ya Kiswahili lina maana au tafsiri nyingi katika matumizi. Katika tafsiri sahihi na sanifu CHOMBO lina maana sita kwa maelezo yaliyomo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu, toleo la pili la 2004. Kamusi hiyo kwa ufupi…