Category: JAMHURI YA WAUNGWANA
Nashauri Aisha apewe tuzo ya kitaifa
Laiti tungekuwa tunahangaishwa na mambo serious, kwa hakika taarifa ya dada Aisha Twalibu, mlinzi wa kampuni binafsi pale Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, ndiyo ingepamba mijadala kwenye vyombo vya habari na mitaani kwetu kote. Huhitaji kuelezwa ukweli kwamba mtu yeyote anayefanya…
Siri ya kukimbiwa baada ya kung’atuka
Tumemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akilalamika kuwa baada ya kung’atuka marafiki hawaonekani! Baada ya kustaafu ndiyo ametambua kuwa kumbe baadhi ya marafiki walikuwa ni marafiki wa nafasi aliyokuwa nayo, na kamwe hawakuwa…
Lipi kosa la huyu Mchina?
Tatizo letu wabongo (Watanzania) wengi tunadhani mvua inatoka juu mbinguni mawinguni kwa Mungu…hatujiulizi kwanini mvua hainyeshi jangwani au huko hakuna anga au Mungu hayupo? Maneno haya yaliwekwa na mwenzetu kwenye kundi letu la WhatsApp. Niliyapenda kwa sababu yanatafakarisha. Ni mafupi, mepesi…
Mawili niliyoyaona safarini Iringa
Hivi karibuni nilisafiri kati ya Dar es Salaam na Iringa. Njiani niliona mengi ya kuvutia, na mengine ya kuhuzunisha pia. Kilometa chache kutoka Mikumi kama unakwenda Iringa kuna wananchi wanaoishi maisha duni. Kuna biashara ndogo za mapapai na miwa. Biashara…
Taratibu tunarejea tulikokuwa kabla
Mmoja wa wasomaji kindakindaki wa JAMHURI amenipigia simu na kuukosoa msimamo wangu kuhusu wachuuzi (wamachinga), akisema ninavyopendekeza watengewe maeneo maalumu, maana yake ninataka tatizo hilo liendelee kukua. Kwa mtazamo wake, uwepo wa wamachinga wengi kiasi kinachoonekana sasa katika miji na…
Tukisikia ya watesi wengine Sabaya ataonekana malaika
Watu waungwana hawashangilii binadamu anapofikwa na mabaya, lakini huwa hawajizuii kufurahi wanapoona haki imetendeka. Naam! Wapo wanaoshangilia si kwa kuwa Lengai Sabaya amefungwa, bali kwa kuona haki imetendeka. Ni jambo la huzuni kwa kijana mdogo kuhukumiwa kifungo kikali kiasi hicho,…