JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: JAMHURI YA WAUNGWANA

Si kila msaada lazima upokewe

Ndugu zangu waandishi wa habari katika Mkoa wa Arusha, wameahidiwa ‘zawadi’ ya kufungia mwaka 2016 na kufungulia mwaka 2017. Wameahidiwa msaada wa pikipiki mbili!  Sina hakika, ni pikipiki za aina gani, lakini kama ni miongoni mwa hizi zinazosambazwa na uongozi…

Ukosefu wa ajira ni matokeo ya akili zetu

Mjadala wa ukosefu wa ajira unazidi kushamiri. Ndiyo, tatizo la ajira lipo na bila shaka litaendelea kuwapo; si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi duniani. Nchi kama ilivyokuwa Libya, kwao tatizo la ajira lilikuwa dogo. Hali hiyo ilitokana na…

Ushauri kwa Rais Magufuli

Ndugu Rais, salaam. Utii wangu kwako hauna shaka yoyote tangu nilipokufahamu ukiwa mwanasiasa chipukizi, nami nikiwa mwandishi mchanga wa habari. Mapenzi yako kwa Watanzania yananishawishi nivutiwe kukuita ‘Ndugu Rais’. Ushujaa na misimamo yako si tu kwamba vilinishawishi nivutiwe na uongozi…

Nampongeza Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshatimiza mwaka mmoja tangu ashike wadhifa huo. Ukimtazama usoni, unamuona Majaliwa tofauti na yule aliyeonekana siku jina lake likisomwa bungeni Dodoma kushika wadhifa huo. Huyu ni Majaliwa aliyejaa msongo wa kazi nyingi alizokubali kuzibeba kwa ajili…

Karibu Jenerali Waitara, jiandae kukabiliana na wanasiasa

Nimemfahamu zaidi Jenerali George Waitara wakati huo akiwa na cheo cha Brigedia Jenerali. Ukaribu wangu kwenye shughuli mbalimbali za kijeshi, uliochochewa na mapenzi yangu kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ulinisaidia kumwona mara kwa mara akiwa kwenye…

Jeshi la Polisi liundwe upya

Hivi karibuni kwenye gazeti hili tuliandika habari iliyohusu mtandao wa matapeli wa madini unaowahusisha polisi kadhaa jijini Dar es Salaam. Tukaeleza kwa kina namna polisi hao wanavyoshirikiana na matapeli wa madini kuwaibia wenyeji na raia wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali…