JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: JAMHURI YA WAUNGWANA

Wakenya wajue funguo za Bologonja ziliondoka na Mwalimu Nyerere

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kwa kusaidiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Mfaume Taka, wameendelea na sanaa yao Loliondo. Wameandika ripoti ndefu iliyojaa hadaa na kuipeleka kwa Waziri Mkuu wakitaka kumwaminisha kuwa ndio makubaliano ya wadau waliounda…

Watetezi wa uhifadhi wasichoke

Kwa mwongo zaidi ya mmoja, nimekuwa miongoni mwa waandishi waliosimama kidete kutetea uhai wa wanyamapori na misitu. Mathalani, tumeamini kuwa bila Loliondo, Hifadhi ya Taifa Serengeti (SENAPA) haipo! Bila Loliondo, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) haipo; wala Masaai-Mara iliyopo…

Kuwafukuza, kuwashusha vyeo walimu ni kuwaonea

Ualimu ni kada muhimu kweli kweli kwa maendeleo ya jamii yoyote. Taifa linaloipuuza kada hii halina mwisho mwema. Matokeo ya kidato cha nne nchini yaliyotolewa wiki iliyopita, yamepokewa kwa mitazamo tofauti. Shule binafsi zimeendelea kung’ara dhidi ya shule za umma….

Umaskini umekuwa mtaji wa ‘manabii wa uongo’

Kwanza, naomba nitangaze maslahi yangu kwenye makala hii. Nayo ni kwamba naamini Mungu yupo. Sijawahi kutilia shaka uwepo wa Muumba kwa sababu ni vigumu mno kuamini kuwa haya yote tunayoyashuhudia, kuanzia kwenye uumbaji, ni mambo yaliyojitokeza yenyewe tu! Haiwezekani. Mungu…

Amri hizi ni za uonevu

Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kadhaa wamepiga marufuku matumizi ya nafaka kutengenezea pombe. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuwaamuru wakulima kutouza mahidi mabichi. Mwishoni mwa mwaka juzi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipiga marufuku matumizi ya chakula cha msaada…

Kulinda rasilimali za nchi ni wajibu wetu kikatiba

Kwanza niwatakie Heri ya Mwaka Mpya wapendwa wasomaji, watangazaji wote wenye mapenzi mema na Gazeti la JAMHURI. Kwa miaka mitano, mmekuwa bega kwa bega nasi; na wakati huo huo tumekuwa tukiwapata wasomaji na watangazaji wengine wapya. Jambo hili linatutia faraja kubwa…