Category: JAMHURI YA WAUNGWANA
Maendeleo hayaji kwa kuchekeana
Bajeti Kuu ya Serikali tayari imesomwa bungeni Dodoma. Imesheheni mambo mengi. Wataalamu wa uchumi wamejitokeza kusema waliyoyaona. Wapo wanaopongeza, kadhalika wapo wanaoikosoa. Wakosoaji wanahoji ukubwa wa tarakimu za bajeti hiyo. Wanasema kama iliyopita imeyekelezwa kwa kiwango kisichozidi asilimia 50; kwanini…
Hakuna mtalii wa kuja kuwaona punda-vihongwe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, wakati wowote wiki hii, anatarajiwa kuwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018. Kama ilivyo ada, Wizara ya Maliasili na Utalii ni miongoni mwa wizara chache zenye mvuto,…
Mfumo wa kuwapata wabunge EALA haufai
Tumewapata Watanzania kenda ambao kwa miaka mitano ijayo watatuwakilisha kwenye Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Waliochaguliwa ni Fancy Nkuhi (CCM), Happiness Legiko (CCM), Maryamu Ussi Yahya (CCM), Dk. Abdullah Makame (CCM), Dk. Ngwaru Maghembe (CCM), Adam Kimbisa (CCM), Habib Mnyaa…
Hivi hadi leo hatujamwelewa Magufuli?
Kwanza naomba nitumie fursa hii kuungana na wazazi, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na watoto wetu – wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha – katika ajali iliyotokea Karatu. Taarifa ya awali iliyotolewa…
‘Woga ndio silaha dhaifu kuliko zote’
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amezungumza jambo la maana sana. Amewataka wananchi wasilalame tu, badala yake wachukue hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki pale unapojitokeza. Amewataka watumie vyombo kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora…
Nimeelimisha, nimehadharisha na nimeonya kuhusu Loliondo
Kuna taarifa zisizo na shaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amehakikisha anapeleka taarifa ya ‘kutungwa’ kwa Waziri Mkuu. Amependekeza Pori Tengefu la Loliondo lifutwe, badala yake kuanzishwe Hifadhi ya Jamii (WMA). Haya ni mapendekezo yake, wala si…