JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: JAMHURI YA WAUNGWANA

 Serikali ikiwa mbaya, CCM itakuwaje nzuri?

Vinara wawili, kati ya wale wanaotuhumiwa kuifanya Loliondo isitawalike, wamewatumia wanasheria wao kuniandikia barua wakitaka ‘nisiwaguse’ kwa chochote kinachoendelea Loliondo. Edward Porokwa na Maanda Ngoitiko, wanaamini kwa kuninyamazisha mimi na Gazeti la JAMHURI, ‘sifa na utukufu’ wao katika Loliondo, vitaendelea…

Sioni faida za kuwakamata

Wale wanaofanya rejea ya hali ya kisiasa nchini mwetu watakumbuka Augustino Mrema alivyokuwa na nguvu kubwa kisiasa mwaka 1995. Wapo ambao wanaamini hadi leo kuwa kama si mbinu na ushawishi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, historia ya…

Funzo kutoka kwenye kodi ya majengo

Mamia kwa maelfu ya wananchi, wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza kulipa kodi ya majengo. Muda uliopangwa ulipungua. Umeongezwa kwa wiki kadhaa, lakini bado idadi ya watu wanaojitokeza kulipa ni kubwa mno. Maombi ya wananchi ya kuomba kuongezewa muda yameitikiwa na Mamlaka…

Tumuunge mkono Waziri Mkuu Majaliwa

Akiahirisha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julai 5, mwaka huu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, pamoja na mambo mengine, alizungumzia sekta ya wanyamapori. Kwa wahifadhi wengi, kauli ya Waziri Mkuu imewapa matumaini mapya…

Walijaribu ushoga wakafeli, wamegeukia mimba za wanafunzi

Rais John Magufuli ameutolea uamuzi mjadala wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanaopata mimba. Rais Magufuli, akiwahutubia wananchi mkoani Pwani, amesema bayana kuwa hayuko tayari kuona wanafunzi wanaotiwa mimba wakiendelea na masomo katika shule za Serikali. Akayaambia mashirika…

Tuwaogope waporaji kwa kuwa ni Wazungu?

Wamarekani wanaweza kuwa na tofauti zao za ndani, lakini linapokuja suala linalohusu maslahi ya taifa lao huungana na kuwa wamoja. Ndivyo nchi inavyopaswa kuwa. Waasisi wa taifa letu walitambua thamani ya umoja na mshikamano wa wananchi. Wakautambua umoja kama moja…