Category: Afya
Mo Dewji foundation yatoa mil 100 kukabili saratani Muhimbili
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Taasisi ya Mo Dewji Foundation iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji, imetoa msaada wa Sh100 milioni kwa ajili kusaidia matibabu ya watoto wanaosumbuliwa na Saratani. Akikabidhi msaada huo leo jijini Dar es Salaam kwa Taasisi ya Tumaini la…
‘NHIF itaendelea kuwepo na kutoa huduma kwani ni tegemeo la Watanzania’
Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kuhakikisha kuwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unakuwa imara, endelevu na stahimilivu kwa kuendelea kutoa huduma kwa wananchi kwa kuwa mfuko huo ni moja kati ya mfumo unaotumika katika kuhakikisha huduma…
ACT-Wazalendo yaishauri Serikali kuhusu bima ya afya ya Taifa
Chama cha Act Wazalendo kimeiomba serikali, kuhakikisha kila Mtanzania anakua kwenye mfumo wa hifadhi ya jamii ili kuwawezesha Watanzania wote kupata bima ya afya ya Taifa. Pia imeishauri serikali kupitia wizara ya fedha kuhakikisha mikopo yote inayodaiwa kupitia mashirika ya…
Makubi:Kila mtu atimize wajibu wake ili kuboresha huduma za afya
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa Wataalamu wa afya wote nchini kutimiza wajibu wao katika maeneo yao ya utendaji ili kuboresha huduma kwa wananchi wanaoenda kupata huduma. Prof. Makubi ametoa wito huo katika kikao na…
Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuboresha upatikanaji dawa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuboresha hali ya upatikanaji wa dawa nchini na kuhakikisha bidhaa muhimu zinapatikana kwa urahisi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti…
Japan yaonesha nia ya kukisaidia chuo kikuu Dodoma
KAMPUNI ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba…