Category: Afya
Watano wafariki kwa virusi vya Marburg Kagera
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Watu watano wamefariki kwa ugonjwa ujulikanao kwa jina la Marburg mkoani Kagera huku watatu wakiendelea kupatiwa matibabu katika vituo maalum vilivyojengwaBukoba Vijijini mkoani Kagera. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema uchunguzi uliofanywa na maabara ya Taifa ya…
Watu 251 wapimwa viashiria vya magonjwa ya moyo Dodoma
Jumla ya watu 251 wamepata huduma ya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na ushauri wa jinsi ya kuepukana na magonjwa hayo kutoka kwa wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Upimaji huo ulifanyika katika maadhimisho ya…
Dkt.Samia anunua magari 727 ya kubebea wagonjwa
Na WAF- Dodoma NAIBU Waziri wa afya Dkt.Godwin Mollel amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha za kununua magari ya kubebea wagonjwa (Ambulance) 727 zitazosaidia kurahisisha huduma za rufaa nchini. Dkt.Mollel amesema…
Utafiti: Vifo vya watoto chini ya miaka mitano vyapungua
Na WAF – Dodoma Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye…
‘Mwaka 2030 utakuwa ukomo magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele’
Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendeleza juhudi za ugawaji wa dawa na matibabu kwa wagonjwa wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ili ifikapo 2030 magonjwa hayo yaweze kutokomezwa. Hayo yamesemwa leo na Meneja Mpango Wa Magonjwa yaliyokuwa…
Serikali kurejesha upya gharama za upandikizaji mimba
Na WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kurejea upya gharama za upandikizaji wa mimba kwa wananchi wenye matatizo ya uzazi na kutopata watoto ili kuwapunguzia mzigo wa gharama kubwa endapo watajiunga na Bima ya Afya…